Ubalozi Kwenye Chati Lyrics

(verse 1)
ma emcee wata kuja na wataenda balozi nipo pale pale
na chati ni ile-ile ya juu zaidi na engeza chanchandu
na alhamdulilai !
mwenyezi mungu kani bariki na vitu vyote navyo fanya africa mashariki
naongeza mashabiki w___a wote nawa twanga nawa pepeta kwenye steji na meremeta nafanya mambo makubwa hapana manene nawacha gumzo kila sehem
ili watu wote wafaham mimi ni nani -na nani na nani yuko nami
nawapa wote mithihani kwenye hii fani siogopi wapinzani wote nawa weka mizani napima uwezo wao hauwezi kufikia w___u mi hata kwa ngumi
balozi niko kwenye anga nyingine na fikiria vitu zaidi unavyo fikiri kufikiria hii dunia
inaenda kwa kasi kiasi kwamba inakuacha nyuma namuonea huruma atoni jaribu hizi siku za karibu nitamu haribu kama mbwana matumla !

KIITIKIO

wengi wali kuwepo,
sasa hivi wako wapi - wako wapi ?
balozi bado nipo,
nina panda kwenye chati - kwenye chati!
nashika ile ile - ile moja namba - na tambaa!
na uhakika kila mwaka waku baki kwenye chati yeah!

(verse 2)
kimya sasa kina ongea - nime wapa dondoo
kidogo kwenye "balozi wenu" mkanogewa
vichwa vyote vika sogea kwangu w___u
wote wa ilala,sinza -nime watuliza kinondoni na mikocheni
temeke na oyster bay waka sema duu !
balozi ni mtalaam kama "jay " hapa ndipo
mapungazeze waka ondowa kauzibe na vilimlim
vyote vilovyobakia /lazima nivimalize - niwa tulize
kama mabbage fresh - mimi big dogg na posse
kama inspectha haruna - ukiusuguwa mimi nauchuna !
navuna nacho kipanda / balozi na shika moja namba
na tambaa / w___a ondokeni kwenye yangu anga
na weka yangu nanga kwenye hii bongoland
nime bobea kwenye hii taluma ya fan !
nimeshika mskan ! nawa peleka nako taka
hata ikibidhi niwa peleke mchaka-mchaka
kwenye chati nita kaa jina lita paa
nyota ita waka mpaka niote mvi - mpaka niote mvi!

KIITIKIO

See also:

70
70.107
Die Paldauer Fuer Mich Da Gibt's Nur Dich Lyrics
The Corries Twa Recruiting Sergeants Lyrics