Juma Nature Chai Lyrics

si ulitaka chai chai
iweje ulalamike unaunguaaaa
kuwa mwangalifu msikivu mwelevu
ukipenda sana ngono itakuua x2

umepata chai afu unalalamika yamoto
wakati mwenyeweee umenunua kwa doto
unalalamika nini wakati kila siku
unaona matangazo kwenye screen
eti kwenye tv, chai
inababua makini usipokua
unakunywa tuktukuuu
bila hata kupooza
untagemea nini
kama sio chai kukuunguza
uspo*** kukuunguza
sanasana sehemyu za baridi
tuwe makini ikibidi
najua unataka bangi na shuka
uache kukurupuka
mapenzi haramu haramu
mwisho wake futi sita shimoni

See also:

115
115.70
COMA Summertime (acoustic) Lyrics
Shout to the Lord Kid All things are possible Lyrics