Cinderella Ali Kiba feat Spince Lyrics

Verse 1

Mara ya mwisho mimi na wewe
Kuonana kipindi kile twasoma
Shule ya msingi ya msingi kigoma
Najua ulinipenda
ila hukutaka penzi kulilinda
Ungesema mapema
Iliniuma sana
Mm leo niko Dar
Aliniyenipenda nishamuoa
Je wataka k__jua jina?
Aitwa Cinderella
Rudi home ww
Rudi nyumbani
Wasalimie Kigoma
Waambie nishaoa

Chorus:
Ulinitesa sana
Sababu nilikupenda wajua
Kijijini kwa bibi Kigoma
Iliniuma sana
Mimi leo niko Dar
Aliniyenipenda nishamuoa
Je wataka k__jua jina?
Aitwa Cinderella
Rudi home ww
Rudi nyumbani
Wasalimie Kigoma
Waambie nishaoa

Hakuna ajuae rangi ya kinyonga
Zaidi ya yy mwenyewe na muumba
Nami nakujua ww huwezi ringa
Baby baby baby

Nakuona u mnyonge sana
Nami nilikuwa hivyo kule kigoma
Usilie kwa uchungu bwana
Imekutachi sana

Uliniadi mapenzi ni kweli uliniteka
Kadri siku zilivyozidi baby ukanitesa
Mamy mara uko bize mamy
Mi mshamba wa mapenzi
Si ndo wakashare nami
Kila ninapokuona,
Ninapokuona
Moyo unazima nakumbuka tu Kigoma
Nakosa raha mwenyewe si unaniona
Ila Cinderella kapoza moyo kuchoma
Mmmh!Mi nachoka haki ya mungu
Inga(wa) ni gani kiasi baby najua machungu
Ningetaka kuwa nawe
Ningetaka kuwa nawe
Ningetaka kuishi nawe
Ila tu mm nimeshabaini
Hiyo ni true mamy
Nishampata mwingine ambaye anayenifaa

See also:

118
118.86
Tokio Hotel @ 4UOnly.biz Schrei Lyrics
catman o erastis Lyrics